Ingia / Jisajili

Nikupe Nini Chakupendeza

Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Adolf A. Katambi

Umepakuliwa mara 743 | Umetazamwa mara 1,641

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Nikupe nini (Ee Mungu) cha kupendeza (Ee Bwana) uwezo wangu ni mdogo waujua vizuri pamoja nayo dhiki inayonisonga mimi (u)ipokee sadaka yangu iliyo duni. x 2 MASHAIRI 1. Amka ndugu tupeleke mazao ya mashamba yetu (tena) tukamtolee na fedha za mifuko yetu (sisi). 2. Sina cha kukutolea lakini ipokee nafsi (yangu) ninayakabidhi maisha yangu uniongoze (Bwana). 3. Maisha yangu ni ya dhiki Bwana wayajua vizuri (tena) udhaifu na unyonge wangu unaujua (Bwana). 4. Ni kazi za mikono yetu Ee Bwana tunakutolea (Bwana) japo ni kidogo tunakileta ukipokee (Bwana).

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa