Ingia / Jisajili

Tu Watu Wake

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 1

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tu watu wake, tu watu wake, tu watu wake na kondoo wa malisho yake x2

1. Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote, mtumikieni Bwana kwa furaha, njoni mbele mbele zake, mbele zake kwa kuimba.

2. Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu, ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake na kondoo wa malisho yake.

3. Kwa kuwa Bwana ndiye mwema, rehema zake ni za milele, na uaminifu wake, vizazi na vizazi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa