Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 584 | Umetazamwa mara 1,674
Download Nota Download MidiSimama ndugu simama, (simama) simama ndugu simama, simama, simama tumsifu Mungu wetu x2 (Tukicheza, tukirukaruka, tukiimba nyimbo kwa furaha, pokea sifa zako wewe uliye juu x2)
1.Vitu vyote umeviumba mwenyewe, mwenyewe Mungu wetu na tazama ulichokiumba, kinapendeza, pendeza.
2.Umeumba milima, mabonde mito na bahari, samaki wanyama wa mwitu, na mimea yote ya makondeni.
3.Jua na mwezi pia na nyota, vyaling'arisha anga lako, na nchi inatupa mazao shambani.
4.Umeniumba Bwana umenijalia sura nzuri, umenijalia utashi wakujua mema na mabaya, Asante Bwana, pokea sifa, Ee Mungu wangu.