Ingia / Jisajili

Ukuu wa Mungu

Maneno ya wimbo
Ae ---Aeeeeee mbingu zimefunuliwa utukufu wake Bwana kweli unaonekana wote twimbe aleluya tumshangilie Bwana ukuu wake 1. Nikiziangalia mbingu na dunia yote mwezi na nyota alivyoviumba yeye kweli ni ajabu 2.Tazama ndege wa angani wanavyorukaruka milima mabonde samaki navyo viumbe vyote vya bahari 3. Tazama ilivyovema na inavyopendeza wanyama mimea yote jinsi alivyoiumba hakika Bwana ni mkuu anastahili sifa na enzi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa