Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 505 | Umetazamwa mara 1,906
Download Nota Download MidiMungu yu katika kao lake takatifu Mungu huwakalisha wa wapweke nyumbani
1.Mungu akaaye mahali pake patakatifu ni baba wa yatima na mlinzi wa wajane
2.Mungu huwapa fukara makao ya kudumu huwafungua wafungwa nakuwapa fanaka