Ingia / Jisajili

BWANA ANAKUJA AWAHUKUMU

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Mhanila

Umepakuliwa mara 502 | Umetazamwa mara 1,546

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana anakuja awahukumu mataifa anakuja awahukumu kwa haki X2

1.1m1wimbieni Bwana kwa zaburi kwa kinubi kwa kinubi na sauti ya zaburi kwa panda sauti ya baragumu shangilieni mbele za mfalme Bwana

2.bahari na ivume na vyote viijazavyo ulimwengu nao wanaokaa ndani yake mito na ipige makofi milima iimbe kwa furaha mbele za Bwana

3.kwa maana Bwana anakuja aihukumu nchina mataifa yake kwa haki


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa