Ingia / Jisajili

Tunaleta Ee Bwana

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 189 | Umetazamwa mara 476

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunaleta ee Bwana tunaleta ee Bwana vipaji vyetu Bwana uvipokee X2

Ni mazao ya nchi vyote ni mali ya yako tunakuomba ee Bwana uvipokee X2

1. Mkate pia divai tunaleta ee Bwana uviokee, mavuno na fedha zetu tunaleta ee Bwana uvipokee

2. Mazao ya mashambani tunaleta ee Bwana uyapokee, kazi za mikono yetu tunaleta ee Bwana uzipokee

3. Na sala zetu wanao tunlaleta ee Bwana uzipokee, pamoja na nafsi zetu tunaleta ee Bwana uzipokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa