Ingia / Jisajili

Mimi Ni Alfa Na Omega

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 478 | Umetazamwa mara 2,134

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mimi ni Alfa na Omega mwanzo na mwisho mimi ni Alfa na Omega mwanzo na mwisho asema Bwana X2

Aliyeko aliyekuwako na atakayekuja Mwenyezi X2

1. Yesu Kristo shahidi aliye mwaminifu mzaliwa wa kwanza wa waliokufa na mkuu wa wafalme wa dunia

2. Yeye atupendaye na kutuosha dhambi zetu na kutufanya kuwa ufalme wa makuhani kwake Mungu wetu naye ni Baba naye ni Baba yake

3. Tazama yuaja yuaja na mawingu na kila jicho litamwona yeye na kila jicho litamwona yeye utukufu na ukuu ni vyake milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa