Ingia / Jisajili

Tusali Rozali

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 128 | Umetazamwa mara 339

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUSALI ROZALI Bikira Maria alisemaalisematusaliRozali *2 KwanihiyondiyosuluhishoyashidazetuzinazotukabilisisiwanawaMungu *2 1. TusalituziombeenafsizetukwakeMungu,zipatehurumayakeMunguziwenaamani, kwahuouombeziwa mama,twapataneemaitusaidiayowakatitunajaribiwa 2. Tusalituwaombeewatuwotewadunia,wahangaikaokotekotewawenaamani tenawajaliwenaupendokatikatiyao,watumikianekatiyaowawenaumoja 3. Tusalituombeefurahakatiyetusote,tuwafurahienduguzetuwalofanikiwa, tenatuombeeafyanzurikoteduniani,kwani mama yetundiye mama afyayawagonjwa 4. TusalituombeeKanisaletutakatifu,matumainiyawanadamusisiwadhaifu tusalitutoeshukuranikwakeMunguwetukwayotealiyotujaliasisiwanadamu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa