Ingia / Jisajili

Twende Sote Bethlehemu

Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 78 | Umetazamwa mara 140

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Twende sote Behlehemu. Twende sote Behlehemu twende sote Bethlehemu. X 2 Bethlehemu ya Yada, twende, twende, twende, sote twende, twende, twende, twende, tukamwone Mwokozi x 2 Mashairi 1. Kati mji wa Daudi Bethlehemu, mji mtakatifu, kazaliwa leo Mwamba wa wokovu wetu. Amekuja kutukomboa wenye dhambi nasi tumfanyie shangwe. 2. Amelala horini pale manyasini, horini kwa ng’ombe. Kajivika utu ufukara kama sisi. Mwana wa Mungu ndiye mwamba wa Israeli, sote tumshangilie. 3. Atukuzwe Mungu juu mbinguni. Na iwe amani , duniani kote ukombozi umeshuka. Nafuraha iwe kwa watu wake wote. Ndiyo habari njema.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa