Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 578 | Umetazamwa mara 1,847
Download Nota Download MidiKiitikio
Mbingu na nchi zifurahi aleluya zote zifurahi aleluya (aleluya leo), kafufuka Mwokozi Yesu mkombozi wetu
Asubuhi na mapema kaburini ametoka sasa ni mzima *2
Mashairi
1. Kamailivyoandikwa kuwa Yesu Kristu, atateswa kwa mamlaka yake Pilato atakufa na kufufuka siku ya tatu
2. Mbingu zifurahi na dunia yote shangwe, kwani aliyetufia msalabani ametoka kaburini kwa ushindi
3. Kina mama msihuzunike furahini, kwani leo mfalme wa wayahudi Kristu kafufuka na ameshakwenda Galilaya