Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Sayuni

Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 60 | Umetazamwa mara 96

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Enyi watu wa Sayuni tazameni X2 Bwana wetu anakuja X 2 Anakuja kuwaokoa mataifa BETI 1. Naye Bwana atawasikilizisha sauti yake tukufu katika mioyo yenu 2. Enyi watu wa Sayuni tazameni Bwana anakuja kuwaokoa mataifa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa