Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 404 | Umetazamwa mara 1,895
Download Nota Download MidiKiitikio
Moyo wangu umekuambia *2
Uso wako nitautafuta usinifiche nitautafuta usinifiche nitautafuta usinifiche uso wako *2 uso wako
Mashairi
1. Umekuwa msaada wangu usiniache wala usiniache EeMungu wa wokovu wangu
2. Baba na mama yangu wameniacha lakini wewe Bwana unanikaribisha kwako Ee Bwana
3. Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia, unifadhili na unijibu Ee Mungu wa wowokovu wangu