Ingia / Jisajili

Twimbe Bwana Amefufuka

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 281 | Umetazamwa mara 891

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio;

Kweli Bwana Amefufuka Mkombozi wa U - limwengu tuimbe Tufurahi Mwokozi kafufuka, Kweli Kaburi likowazi Amefufuka alivyo sema Tuimbe tushangilie Ukombozi umetimia.

Hivyo Twimbe Tena Tuimbe tucheze na Matari tupige Tuimbe tushangilie Bwana Amefufuka/Ukombozi umetimia. ×2

Mashairi;

1(a). Wana wake wagalilaya  walikwenda kaburini wakakuta Kaburi liwazi Bwana Amefufuka,

1(b). Maraika kawaambia Mwamtafuta aliye hai hayupo hapa hayupo kaenda galilaya.

2(a). Minyororo ya shetani hakika ameivunja, nazo kamba za mauti kumfunga zimeshindwa,

2(b). Utumwani katutoa haya basi Tufurahi, Uhuru katupatia kwashangwe tushangilie.

3(a). Mapema siku ya tatu kaburini ametoka, Ni Kama alivyo sema kafufuka yumzima,

3(b). Hivyo tu furahi na Tuimbe Aleluya, Mkombozi wa ulimwengu kweli Amefufuka.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa