Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 81 | Umetazamwa mara 284
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 9 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 9 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 9 Mwaka C
UNIANGALIE NA KUNIFADHILI
KIITIKIO
Uniangalie na kunifadhili (Ee Bwana) maana mimi ni mkiwa na mteswa. X 2
MASHAIRI
1. Utazame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhambi zangu zote ee Mungu wangu.
2. Utazame adui zangu maana ni wengi, wananichukia kwa machukio ya ukali.
3. Unilinde nafsi yangu na kuniponya, nisiaibike maana nakukimbilia wewe.