Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 344 | Umetazamwa mara 1,465
Download Nota Download MidiSalamu mama maria Utuombee sisi utuombee kwa mwanao x2
BETI
1. Utuombee kwa mwanao yesu kristu aliye mbinguni
2. tunajinyenyekeza kwako utusikie sauti zetu
3. utuombee kwa mwanao bila nguvu yako hatuwezi