Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 766 | Umetazamwa mara 2,407
Download Nota Download MidiViuzeni mlivyo navyo mkavitoe sadaka x2 Mkavitoe (sadaka) mkavitoe (kwa baba) kwa baba yenu aliyembinguni x2
1. Uzeni mali zenu mkawape fedha masikini kwakuwa m najiwekea hazina kule mbinguni
2. jifanyieni mifuko yenu isiyo isiyochakaa , , , , ,, ,, ,, ,,
3. Huko wevi hawakaribii wala nondo hawa haribu ,, ,, ,, ,,
4. Pale ilipo hazina yako ndipo moyo wako uliopo ,, ,, ,,