Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo:
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 505 | Umetazamwa mara 2,282
Download NotaWaamini wa Geita twamshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya askofu Baba yetu Kassala. Tunamwombea Baba yetu atuongoze wana Geita ili dira yake la kuongoza kondoo aliopatiwa kwa kauli mbiu aliyoichagua ya jubilei ya mwaka wa huruma : kuitumainia huruma ya Mungu, huruma ionekayo usoni pa Yesu. Wana Geita tunaalikwa kuungana na Askofu wetu Kassala katika kuutumainia uso wa Yesu uliojaa huruma. Missericordes Vultus Intersperamus, tuungane na Baba Askofu Kassala kuitumainia huruma ya Mungu.