Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,568 | Umetazamwa mara 9,647
Download Nota Download Midi
Kiitikio:
Nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika bwana aliyezifanya mbingu na nchi.
Mashairi;
1. Asiuache mguu wako usogezwe yeye akulindaye asisinzie, Naam, hatasinzia wala hatalala.
2. Bwana ndiye mlinzi wako, Bwana ni uvuli wako, husimama mkono wako wa kuume.
3. Bwana atakulinda na mabaya yote, atakulinda nafsi yako utokapo na uingiapo.