Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,224 | Umetazamwa mara 7,246
Download Nota Download MidiKiitikio:
Uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma ya kuniokoa, ndiwe genge langu na ngome yangu kwaajili ya jina lako niokoe unichunge.
Mashairi:
1. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele,nisiaibike milele,nisiaibike milele, kwa haki yako uniponye uniokoe hima.
2.Utanitoa katika wavu, utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, maana wewe bwana ndiwe ngome yangu.