Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 745 | Umetazamwa mara 1,871
Download Nota Download MidiNchi imejaa fadhili za Bwana, nchi imejaa fadhili za Bwana X2 Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika, mbingu zilifanyika, Aleluya X2
1. Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu, huzipenda haki haki na hukumu, nchi imejaa fadhili za Bwana.
2. Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika, na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake, hukusanya maji ya bahari chunguchungu, huviweka vilindi katika ghala.
3. Heri taifa ambalo Bwana Mungu ni wao, watu aliowachagua kuwa urithi wake, toka mbinguni Bwana huchungulia, huwatazama wanadamu wote pia.