Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Bernard Mukasa
Umepakuliwa mara 11,165 | Umetazamwa mara 19,259
Download Nota Download MidiJongeeni enyi waamini kwenye karamu karamu ya Bwana x2
Jongeeni wote karibuni sogea mkapokee uzima
Ni Yule pale Yule pale Yule pale Yesu ndiye Yule pale Yule pale Yule pale Yesu atuitax2
1. Mezani ni mwili na damu iliyowagwa kwa ajili yetu na kwa ajili ya wengi
2. Ustaarabu wa mbinguni kwenye utamaduni wa dunia sadaka na shukrani
3. Jioni ile Bwana Yesu alialika bila ubaguzi tajiri na masikini
4. Ekaristi chakula bora nguvu ya uhai war oho zetu chemchemi ya wokovu
5. Tule mwili na tunywe damu tukae ndani ya Yesu milele naye awe ndani yetu