Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,453 | Umetazamwa mara 3,986
Download Nota Download MidiAleluya Bwana kafufuka Ameyashinda mauti kaburini hayumo tena Bwana kafufuka x 2:
Mashairi:
1. Ameyashinda mauti ametoka Bwana yu hai Aleluya Aleluya Bwana Kafufuka.
2. Ameivunja minyororo ya shetani ameikata Aleluya Aleluya Bwana Kafufuka.
3. Ameutoa uhai wake na pia kumwaga damu yake Aleluya Aleluya Bwana Kafufuka.
4. Tumekombolewa kutoka utumwani mwake shetani Aleluya Aleluya Bwana Kafufuka.