Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 968 | Umetazamwa mara 2,890
Download Nota Download MidiEe Bwana Unifadhili ee Bwana unifadhili, kwa maana nakukililia wewe mchana kutwa x 2.
Mashairi:
1. Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako maana nafsi yangu nakuinulia wewe Bwana.
2. Kwa maana wewe Bwana, umwema umekuwa tayari kusamehe na mwingi wa fadhili kwa wote wakuitao.
3. Ee Bwana uyasikie maombi yangu, uisikilize sauti ya dua zangu.
4. Siku ya mateso yangu nitakuita wewe, kwa maana Bwana utaniitikia.