Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,025 | Umetazamwa mara 4,220
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu
Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo x 2 wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba x 2.
Mashairi:
1. Unawasamehe watu dhambi zao na kuwahurumia, (kwakuwa wewe ndiwe Bwana wa vyote) x 2.
2. Unawakusanya waliopotea nakuwaleta kwako, (nakuwa kumbatia kwa huruma yako) x 2.
3. Unatukumbusha kuziacha dhambi na kutenda mema, (kwakuwa watupenda sisi wana wako) x 2.