Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 548 | Umetazamwa mara 1,636
Download Nota Download MidiNami nimezitumainia fadhili zako, Moyo wangu na ufurahie wokovu wako x 2.
Mashari:
1.Naam nimwimbie Bwana, kwakuwa amenitendea kwa ukarimu.
2. Ee Bwana hata lini utanishahu, hata milele utanificha uso wako.
3. Hata lini Bwana nifanye mashauri, nikihuzunika moyoni mchana kutwa.
4. Hata lini adui yangu atukuke juu yangu, Ee Bwana uangalie uniitikie.