Ingia / Jisajili

Kinywa Changu Kitasimulia

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 375 | Umetazamwa mara 575

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu, kitasimulia haki na wokovu wako x 2. Mashairi: 1. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike nisiaibike milele. 2. Kwa haki yako uniponye uniopoe, unitegee sikio lako uniokoe. 3. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakakokwenda siku zote. 4. Umeamuru niokolewe, ndiwe genge langu na ngome yangu. 5. Ee Mungu wangu uniopoe, uniopoe mikononi mwa mkorofi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa