Ingia / Jisajili

Inueni Vichwa Vyenu

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Matawi | Mwanzo

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 860 | Umetazamwa mara 2,249

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Inueni vichwa vyenu enyi malango(Inukeni) Inukeni enyi malango ya milele x 2. Ili Mfalme wa Utukufu apate kuingia (fungukeni) Mfalme wa utukufu apate kuingia x 2.

Mashairi:

1. Ni nani Mfalme Mfalme wa Utukufu, Bwana mwenye nguvu Bwana hodari wa vita.

2. Naam inueni vichwa vyenu enyi malango, Mfalme wa Utukufu apate kuingia.

3. Ni nani huyu Mfalme wa Utukufu, Bwana mwenye nguvu Bwana hodari wa vita.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa