Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa | Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,795 | Umetazamwa mara 7,576
Download NotaKiitikio:
Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya. Huruma ya Mungu ni ya milele, aleluya, aleluya, aleluya.
Mashairi:
1.Ee Bwana Yesu Kristo tuonyeshe uso wako wa huruma nasi tutaokoka jicho lako lililosheheni upendo litufundishe moyo wa huruma
2.Ee Bwana Yesu Kristo peleka roho wako Mtakatifu utuweke wakfu ili jubilei ya mwaka wa Huruma iwe jubilei yenye neema.
3.Jubilei hii ituwezeshe kutambua moyo wa toba na moyo wa msamaha ili kanisa lako litambue zawadi uliyotuachia.