Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 559 | Umetazamwa mara 3,322
Download NotaWaamini wote tunaalikwa kuitikia wito wake Baba Mtakatifu (Fransisco) katika kuadhimisha Jubilei ya mwaka wa huruma, tuzidi kuutafuta uso wa Yesu uliojaa huruma (x 2)
Tuutafute uso wa Yesu huruma, uliojaa msamaha, uliojaa upendo usiopimika: uso wa Yesu kielelezo cha huruma ya Mungu basi tuitumainie huruma ya Mungu, uso wa Yesu umejaa huruma.