Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Wasonga David
Umepakuliwa mara 3,510 | Umetazamwa mara 8,301
Download NotaKiitikio:
\\Sina mwingine, ni wewe tu, ni wewe niliyekuchagua uwe wangu wa maisha, hakuna mwingine zaidi yako, ni wewe niliyekuchagua uwe wangu wa maisha x2 //
Mashairi:
1. Mpenzi wangu kweli wavutia kama yungiyungi, uzuri wako kweli unatisha kama jeshi lenye bendera
2. Katika shida hata na taabu nimekuchagua wewe, katika dhiki hata na raha nimekuchagua wewe
3. Nipige muhuri mikononin mwako niwe wako milele, niwe wako daima.