Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 4,284 | Umetazamwa mara 8,930
Download Nota Download Midi
Aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya,aleluya, aleluya, aleluya
\\Msifuni bwana kutoka mbinguni, msifuni bwana katika mahali pa juu, Enyi mwezi enyi nyota msifuni msifuni nyote msifuni kwa kuimba aleluya!//