Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,387 | Umetazamwa mara 7,203
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bethlehemu; Bethlehemu mji Mtakatatifu, Bethlehemu; Bethlehemu mji Mtakatifu, mji Mtakatifu, mji Mtakatifu, [uliomtoa, uliomtoa Mkombozi wa Ulimwengu (x2)] Bethlehemu umebarikiwa, Bethlehemu umebarikiwa, kwa kumtoa Masiha wa Ulimwengu
Mashairi:
1. Bethlehemu, Bethlehemu umebarikiwa, umebarikiwa, kwa kumtoa Mkombozi wa Dunia
2. Bethlehemu kweli umebarikiwa, Bethlehemu ndiyo mji Mtakatifu, Bethlehemu, Bethlehemu umebarikiwa kwa kumtoa Masiha