Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 469 | Umetazamwa mara 1,688
Download Nota Download MidiKIITIKIO;-
Aleluya msifuni katika patakatifu pake, msifuni bwana kwa matendo yake makuu.
msifuni kwa kinanda na kinubi, kwa kuimba na kucheza na filimbi msifuni Bwana.
MASHAIRI
1.Msifuni kwa mvumo wa baragumu,kwa kinanda kinubi na matari Aleluya msifuni.
2.Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana, katika uweza wake na ukuu Aleluya msifuni.