Ingia / Jisajili

Alleluia - Noeli

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 50 | Umetazamwa mara 63

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ALLELUIA! (Misa ya Mchana, Noeli Mwaka A, B, C) Alleluia, Alleluia, Alleluia. Alleluia, Alleluia (Alleluia). Alfajiri ya siku takatifu imetujia Njoni, enyi mataifa, na kumwabudu Bwana. Kwa maana leo nuru kubwa imeangaza juu ya nchi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa