Ingia / Jisajili

Sala Yangu Ipae

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 286 | Umetazamwa mara 609

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SALA YANGU IPAE 1. Sala yangu ipae mbele yako Bwana kama moshi wa ubani, kama moshi altereni. Kitikio Nakuinuliwa kwa mikono yangu, iwe kama sadaka ya jioni, na toba ya kweli ya hii nafsi yangu, iwe kama dhabihu inayofee. X2 2. Sadaka ya mkate na divai nimeleta kwako, na nakuomba uvipokee, na uzibariki, Ee Mungu. 3. Sadaka ya nafsi yangu nimekutolea, furaha zangu, na huzuni zangu, nakabidhi yote kwako, Ee Mungu. 4. Sadaka ya siku ya leo, ninakuomba ubariki, uvibadilishe kuwa mwili na damu ya Yesu Kristo, Ee Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa