Ingia / Jisajili

Yesu Nakupenda

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,451 | Umetazamwa mara 3,086

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Yesu nakupenda ingia ndani mwangu ukae nami siku zote unipe heri na raha moyoni mwangu uitulize roho yangu unitakase unipokee niwe wako daima na milele X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa