Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Majilio | Ubatizo
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 980 | Umetazamwa mara 2,513
Download Nota Download MidiBwana alipokwisha kubatizwa, mbingu zikamfunukia roho akashuka kwa mfano wa hua na kukaa juu yake X2 natazama sauti ya Baba ikasema huyu ni mwanangu, mpendwa wangu ninayependezwa nayeX2
1.nitamhimidi Bwana kila wakati, sifa zake zi kinywani mwangu daima
2 Mtukuzeni Bwana pamoja nami, tuliadhimishe jina lake pamoja