Ingia / Jisajili

Mt. Yohane Paulo Wa Pili

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 701 | Umetazamwa mara 2,783

Download Nota
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Yohane Paulo wa pili (somo wetu) mtakatifu na msimamizi wetu (ee baba) utuombee kwa Mungu wetu.

MASHAIRI:

1.Ishirini na saba Aprili,  ishirini kumi na nne, umetangazwa kuwa Mtakatifu twakushangilia.

2. Kutangazwa Mtakatifu, kutuhamasishe na sisi, tuzifuate nyayo zako tufike mbinguni.

3. Simamia Kanisa letu liimarike daima,kwa maombezi yako tushikamane na Mungu wetu.

4. Ulitoa maisha yako kulihudumia Kanisa,tunakuomba utuombee kwa Mungu wetu.

5. Uliwapenda watu wote bila ubaguzi wowote, tuzifuate nyayo zako tufike mbinguni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa