Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 814 | Umetazamwa mara 2,427
Download Nota Download MidiBWANA AMEJAA HURUMA
Bwana amejaa huruma bwana amejaa huruma amejaa huruma na neema
1.Akusamehe maovu yako yote akukuponyae magonjwa yako yote aukomboa uhai wako na kaburi akatia taji ya fadhiri na rehema.
2.Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki na hukumu kwa wote waonewao alimjulisha musa njia zake wana wa Israeli matendo yake
3.Ee nafsi yangu umuhimidi bwana wala usizisahau fadhiri Zake maana mbingu ziliinuka juu ya nchi kwa kadiri ya rehema zake kuu kwa wamchao