Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 787 | Umetazamwa mara 2,464
Download NotaMUNGU YU KATIKA KAO LAKE
mungu yu katika kao lake kao lake takatifu.
Mungu huwakalisha wapweke nyumbani yeye huwapa watu nguvu na uwezo.
1.mungu ni mwenye kutisha kutisha Sana kutoka patakatifu patakatifu pake.
2.Bali Watu Wenye haki hufurahi Sana na kuushangilia uso wa bwana