Ingia / Jisajili

EE BWANA UWE PAMOJA NAMI

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Zaburi

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 612 | Umetazamwa mara 2,032

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE BWANA UWE PAMOJA NAMI

Ee Bwana uwe pamoja bwana uwe Pamoja nami uwe pamoja nami bwana katika taabu zangu.

1.Aketie Mahalia pa Siri pake mwenyezi mungu atakaa katika uvuli wake mwenyezi mungu

2.Nitsema bwana ndiye kimbilio  na  ngome yangu bwana Mungu wangu ndiye nitakaye mtumaini.

3.Ma baya hayatakupata wewe wala tauni haitaikaribia hema yako hemani mwako

4.Kwa kuwa atakuagizia malaika zake wakulinde katika njia zako zako zote.


Maoni - Toa Maoni

jackson Feb 27, 2022
kazi nzuri sana

Toa Maoni yako hapa