Ingia / Jisajili

NJONI TUABUDU

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 181 | Umetazamwa mara 815

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 23 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 23 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 27 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NJONI TUABUDU

Njoni tuabudu tusujusu tumpigie magoti mbele za bwana aliye tuumba Kama ana kwamaana ndiye mungu wetu na sisi ni watu wamalisho yake nakondoo za mkono wake

1.Njoni tumwimbie bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa zabiri.

2.Mikoni mwake zimo bonde za dunia hata na vilele hata na vilele vya milima vilele vya milima ni vyake.

3.Bahari ni yake ndiye aliyeifanya na mikono yake aliifanya na  mikono yake aliumba inchi kavu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa