Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 430 | Umetazamwa mara 1,651
Download NotaTUMRUDIE MUNGU
Enyi waumini wote njoni njoni tumrudie muumba wetu kwa sala na maombi yetu tukiomba yaye anatusikiliza.
Tupige magoti mbele zake mungu yeye atatusikiliza maana si mwepesi Wa hasira ni mwingi wa huruma.
1Ni kwa sababu ya huruma yake ndio maana tunapumua kwa pumzi y'a kinywa chake basi tumuombe mungu atuponye na maradhi yanayotusonga katika dunia.
2.Mahangaiko ya hapa duniani yasiyompendeza mpendeza mungu yanamchukiza mungu hata kututenganisha na baraka Zake.