Ingia / Jisajili

Bwana Asema Mimi Ni Wokovu Wa Watu (Mwanzo Jumapili Ya 25)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 4,322 | Umetazamwa mara 9,698

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA ASEMA MIMI NI WOKOVU WA WATU.

(Mwanzo: Jumapili ya 25)

KIITIKIO

Bwana asema mimi ni wokovu wa watu, wakinililia katika taabu yoyote nitawasikiliza. (nami nitakuwa Bwana wao milele(milele) nitakuwa Bwana wao milele.x2)

MASHAIRI

  1. Na wakamlilia Bwana, katika dhiki zao, Bwana akawaponya shida zao.
  2. Waliona    njaa  na  kiu,  nafsi  ikazimia, nafsi ikazimia ndani yao.
  3. Walim-shukuru Mwenyezi, kwa fadhili zake na, maajabu yake kwa wanadamu.
  4. Atukuzwe Baba na Mwana, na Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na milele.

Maoni - Toa Maoni

Venas lujinya Sep 12, 2018
Hongera sana

Toa Maoni yako hapa