Ingia / Jisajili

Ee Mungu Nimekuita (Mwanzo Jumapili Ya 29)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 3,886 | Umetazamwa mara 8,137

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 29 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Mwanzo Jumapili ya 29)

KIITIKIO

Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika utege sikio lako ulisikie neno langu. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho. (Unifiche chini ya uvuli uvuli wa mbawa zako,chini ya uvuli wa mbawa zako.x2)

MASHAIRI

  1. Wasione wasio haki wanaonionea adui wa roho yangu wanaonizunguka.
  2. Moyo wao wanaukaza wanaukaza moyo kwa vinywa vyao hutoa hutoa majivuno.
  3. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ilivyo mwanzo na sasa daima na milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa