Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Usiniache (Mwanzo Jp 31)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 3,559 | Umetazamwa mara 7,591

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Jumapili ya 31)

KIITIKIO

Wewe Bwana usiniache Mungu wangu usijitenge nami,ufanye haraka kunisaidia Ee Bwana wokovu wangu.x2

MASHAIRI

  1. Ee Mungu wangu mbona umeniacha,mbona uko mbali nao wokovu wangu, na maneno ya kuumwa kwangu.

  1. Ee Mungu wangu m-chana ninalia,ninalia mcha-na nawe haunijibu, na usiku ninapata tabu.

  1. Sifa kwa Baba na pia kwake mwana, naye Roho Mtakatifu milele yote, milele na milele amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa