Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko
Makundi Nyimbo:
Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO
Umepakuliwa mara 1,551 | Umetazamwa mara 4,017
Download Nota Download MidiTAABU YA MIKONO YAKO
(Jumapili ya 33 ya mwaka A)
KIITIKIO
Taabu ya mikono yako(hakika) hakika utaila.x2
MASHAIRI
1.Heri mtu Yule amchae Bwana aendae katika njia zake.
2. Heri yao wale wamchao Bwana watapata heri pia Baraka.
3. Mke-o atakuwa kama mzabibu uzaao ndani mwa nyumba yako.
4. Nao wana wako kama miche ya mizeituni wakizunguka meza.
5. Atabarikiwa hivyo Yule amchae Bwana kutokea Sayuni.