Ingia / Jisajili

Watoto Wa Wayahudi

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Matawi

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 2,078 | Umetazamwa mara 5,543

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Watoto wa wayahudi walibeba matawi yao ya mizeituni.x2. wakiimba kwa shangwe kubwa hosanna hosanna kwa mwana wa Daudi.x2

MASHAIRI

  1. Walichukua matawi yao, huku wakiimba hosanna kwa mwana wa Daudi.
  2. Walitandaza nguo njiani, mwanapunda aliyembeba apite juu yake.
  3. Hasana mwana wake Daudi, mbarikiwa anayekuja kwa jina lake Bwana.
  4. Na sisi ndugu tuandamane, tuyabebe matawi yetu ya mizeituni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa