Ingia / Jisajili

Bwana atawatimizia

Mtunzi: Gabriel N. Kimani
> Mfahamu Zaidi Gabriel N. Kimani
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel N. Kimani

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gabriel Kimani

Umepakuliwa mara 123 | Umetazamwa mara 578

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Atawatimizia Enyi wana wa Mungu acheni kufa moyo, enyi wana wa Mungu acheni kukata tama, Mwachieni Bwana mashaka yenu yote, mwachieni Bwana atawatimizia 1. Mle nini mnywe nini au mtavaa nini, pia mtalala wapi, yote anayajua na atawatimizia 2. Yeye huwalisha ndege na wanyama wa kondeni, samaki wa baharini, nanyi viumbe vyake atawashughulikia 3. Vita ugomvi nyumbani, matatizo ya ndoa zenu, Shida na umaskini, yote anayaona na atawatatulia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa